Chat Now

HABARI MPYA

FUNDISHO LA MSINGI

PICHA NA MATUKIO

CAPACITY BUILDING CLASS

MAHUSIANO

NUKUU YA LEO

Afya Ya Mahusiano


Kama ilivyo afya ya mwili bila magonjwa ndivyo ilivyo afya ya mahusiano.

Tunapenda kukukaribisha kwenye darasa letu la AFYA YA MAHUSIANO kwa njia ya WhatsApp LiveChat Group.

Njoo ujifunze jinsi unaweza kuyajenga na kuyafanya mahusiano yako yawe na afya itakayokufanya ufurahie kuwepo kwenye mahusiano hayo.

Darasa ni kwa ajili ya watu kuanzia miaka 18+,  singles | wachumba | walioko kwenye ndoa.
Usikose darasa hili litakufungua sana.

Walimu wapo tayari kukufundisha.
Tutumie namba yako ya WhatsApp kwenda namba 0620 435 933 ukianza na neno "afya ya mahusiano"


Tukutane darasani tujenge mahusiano yenye afya.

Walimu:
Ms Eva E.M &
Mr. Mdee B.F
_________________
Copyright:
fEmTanzania | Rafiki255 Tuzungumze.

WATOTO YATIMA NA WALIO NA MAZINGIRA MAGUMU



WASEMEE FOUNDATION:
Ni Huduma/Taasisi - (Non-Profit Organisation).

Tunajihusisha katka kuwafikia watoto yatima na wale walio na mazingira magumu popote Tanzania.
Tunatambua kuwa kazi / huduma hii ni ya kijamii na inagusa jamii yote ya Watanzania.

Hivyo basi,
Ukiwa kama MDAU mwenye mapenzi mema kwa watoto wa kundi hili na katika kufanikisha lengo la huduma hii - tunaamini kabisa kwamba mahali ulipo/unakoishi au kwenye jamii inayokuzunguka yumkini wapo watoto yatima na wale walio na mazingira magumu.
"WASEMEE FOUNDATION" Tunakuomba endapo kuna yatima na walio na mazingira magumu na kiukweli unaona kabisa kwamba wapo kwenye uhitaji basi tunaomba uwasiliane nasi - tupe taarifa ili ikiwezekana tufike hapo walipo tuzungumze nao.
Ukifanya hivyo MUNGU wa mbinguni atakubariki sana na atakuzidishia neema yake ya pekee.

Wasiliana nasi kwa namba hizi:

Piga/SMS >>> 0653 100 100
WhatsApp >>> 0788 630 639
Lakini pia milango ipo wazi kwa yeyote anayependa ku support watoto yatima na walio na mazingira magumu.
Kauli Mbiu  Yetu:
"Gusa Maisha Ya Yatima, Gusa Moyo Wa Mungu"

Bonyeza https://www.facebook.com/wasemee3189 uweze ku LIKE ukurasa wetu wa Facebook pia Share na wengine, utabarikiwa  zaidi.

Imetolewa Na.
Mkurugenzi wa huduma,
Wasemee Foundation.
TANZANIA.

Kilimo Cha Matikiti Maji.

KILIMO CHA MATIKITI MAJI KIBIASHARA:

Ni hakika kabisa kwamba unatamani kutoka hapo ulipo na kufikia malengo/mafanikio.
Hata kama umeshaanza kuyaonja mafanikio nina uhakika unatamani kwenda mbali zaidi.

Kwenye ukurasa wetu wa Facebook utajifunza kuhusu kilimo maarufu hapa nchini kwetu Tanzania - 'Kilimo Cha Matikiti Maji'. Kila mkulima kwa sasa anazungumzia kilimo cha tikiti maji.

Kwa nini kilimo hiki kinapendwa sana?.
1. Ni kilimo cha muda mfupi ( kati ya miezi miwili hadi mitatu )
2. Kilimo hiki hakina msimu - mkulima anaweza kulima hata mara nne kwa mwaka.
3. Pamoja na changamoto za hapa na pale, kilimo hiki kinakupatia pesa nzuri sana endapo utafuata kanuni pamoja na kulilenga soko (timing ya soko).

Tunaamini ukiamua kujifunza kupitia ArethaGreens utaweza  kujipatia faida kubwa kwenye zao hili.
Hata kama huna mtaji wa kuanzia, mnaweza kujiunga kwenye vikundi visivyozidi watu 10 kwa kila kikundi.

Like ukurasa wetu wa Facebook upate taarifa/updates mbalimbali na ushauri wa kitaalam.

Bonyeza Link hii uweze Ku LIKE PAGE YETU.
https://www.facebook.com/arethagreenstz

ArethaGreens,
Iringa, Tanzania.
0620 435 933

Ushauri, Maombi na Maombezi.

Listen to Ufahamu sahihi Maisha sahihi by Rafiki255 Tuzungumze #np on #SoundCloud https://soundcloud.com/rafiki255/karibu-shule-ya-fikra

Juu