JOHN SHABANI TOUR TO VISIT NGORONGORO CRATER
-
The *Ngorongoro Conservation Area* is a protected area and a World
Heritage Site located 180 km (110 mi) west of Arusha in the Crater Highlands
area of...
HABARI MPYA
FUNDISHO LA MSINGI
PICHA NA MATUKIO
CAPACITY BUILDING CLASS
MAHUSIANO
NUKUU YA LEO
MAAHUSIANO / UCHUMBA - KUELEKEA NDOA/CHOOSING YOUR MATE.
Imewekwa na: Mdee Junior Tarehe: 1:47:00 PM / maoni : 0 Habari mpya, MAHUSIANO
Shalom_Shalom,
Mabibi na Mabwana - Singles & Couples Karibuni kwa meza ya Bwana tupate kula na kunywa pamoja. Namshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kwa ajili yenu amenichagua niwe mpishi wenu siku ya leo; Nami najitoa kwa nia ya dhati kabisa kwa ajili yenu/yetu sote kwa kusudi jema kabisa la Kujenga na Kupanda.
Ni mimi Mjoli wenu katika KRISTO_YESU Bwana wetu.
1KORINTH 7:1-11, Key Verse Yetu.
Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.... ' Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi. Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa ' ...!
NB: Unaweza kutusaidia maandiko mengine ku-support andiko/somo tajwa hapo juu.
Ni ukweli usiopingika kwamba huwezi kuzungumzia Mahusiano ukayamaliza, mahusiano ni mfano wa bahari ambayo ndani yake kuna/imebeba mambo mengi sana na mengi mapya huzaliwa kila iitwapo leo.
Mahisiano ni hali ya kuhusiana/kubaliana/relate/share/patana/connections - na kinyume chake chaweza kuwa sahihi pia.
DONDOO_MUHIMU_UTANGULIZI.
* Kuwa na msimamo ( sio kuwachezea wasichana/umiza hisia/feelings zao/tesa mioyo yao)
* Usimwambie msichana kwamba unampenda kama hutamwambia utamuoa
* Mwanaume ndiye anayeanzisha/initiate urafiki
* Kawaida mwanaume ana huruma kwa mwanamke - hawezi kumkatalia mwanamke
* Usiwe omba omba wa upendo, na kamwe usimvulie nguo yako ya ndani ili kumthibitishia/mwonyesha kuwa unampenda, kama zipu yako mbovu ama sketi yako imekatika kifungo - Hima wahi kwa fundi (YESU KRISTO) aweke mambo sawa nawe utakuwa salama.
Tunapozungumzia mahusiano lazima yawe baina/kati ya watu wa jinsia mbili tofauti kike na kiume, ni mahusiano ya urafiki kati ya jinsia hizi mbili ambayo yatapelekea uchumba hatimaye yatapelekea ndoa.
Mahusiano haya yanahitaji maarifa/ufahamu na ustadi. Mahusiano ya uchumba sio kuangaliana usoni ama kukodoleana macho tu basi, Bali ni pamoja na kuulizana maswali magumu na kuzungumza juu ya mambo ya msingi kwa sababu ni kitu/jambo la maisha.
WAKATI_GANI_USIO_MZURI_KUINGIA_KWENYE_UCHUMBA_MAHUSIANO!
a> Kamwe usiingie kwenye mahusiano/uchumba kama hujui WITO_WAKO - Mungu amekuitia nini.
Mfano: kama huna muelekeo wa huduma (nazungumza na kijana aliyeokoka) - Efeso 4:1, ...' mwenende kama inavyoustahili wito_wenu mlioitiwa.
Kuoa/olewa na mtu asiye na muelekeo ni hatari sana. Ni lazima NIITWE/UITWE pamoja na mke wangu/wako katika huduma.
Muelekeo wa watu wawili ni muhimu - makusudi na nia ya mioyo ipatane/shikane pamoja.
Wito wa Mungu katika maisha lazima uwe nambari moja (1) katika kuoa/olewa, wito/muelekeo/shauku ya moyo iwe ni mapenzi Mungu na sio kutaka tu kutimiza mambo yako/nia zingine (ke/me).
Ndio maana utakuta mke/mume kabla ya kuoa/olewa alikuwa mtumishi mzuri sana na kujitoa sana kwa ajili ya Mungu/BWANA, lakini mara tu baada ya kuoa/olewa huduma inakuwa si huduma tena ama inakufa/zorota au kushney kabisa.
b> Kama umekata tamaa usiingie kwenye mahusiano.
Usifanye maamuzi kama umefishwa/vunjwa moyo - maana 95% ya maamuzi yako yatakuwa mabovu na mwisho wa siku utaujutia uamuzi ulioufanya.
Itaendelea.
Next: SABABU 11 MBOVU ZINAZOFANYA WATU WAOANE.
Wasiliana na mwalimu wa somo hili:
0766 730 360 / 0659 700 002
HALI YA MWIMBAJI WA INJILI NCHINI SI NZURI, YUPO CHUMBA CHA UPASUAJI SASA, MUOMBEE KAMA VILE HUJAWAHI KUOMBA TENA.
Imewekwa na: Mdee Junior Tarehe: 4:17:00 PM / maoni : 0 Habari mpya, KONA YA WATUMISHI
Maombi yako yanahitajika ili Mungu amponye mwimbaji wa muziki wa injili nchini Debora John Saidi ambaye hali yake inaelezwa kwamba si nzuri nasasa yuko chumba cha upasuaji hospitali ya Mwananyamala kuondolewa uvimbe mkubwa tumboni ambao umesababisha alie kwa maumivu makali.
Upasuaji wa kutoa uvimbe huo ulitarajiwa kufanyika kesho, lakini kutokana na maumivu pamoja na kilio kutoka kwa mwimbaji huyo imebidi kupelekwa chumba cha upasuaji mchana huu. Ambapo mchana wa leo baadhi ya waimbaji wenzake akiwemo Joshua Makondeko, Tumaini Njole walifika hospitalini hapo kumjulia hali. Mdau wangu sema neno la uponyaji kwa ajili ya Debora John Saidi.
Zaburi 103:3-4.
Source: GK.
![]() |
| Debora akilishwa kabla ya kupelekwa chumba cha upasuaji. |
![]() |
| Mungu akuponye Debora. |
![]() |
| Joshua Makondeko akimnywesha maji Debora. |
Magonjwa Ya Moyo Na Presha Sasa Basi...
Imewekwa na: Mdee Junior Tarehe: 6:24:00 PM / maoni : 0 Habari mpya, Picha Na Matukio
MARA NYINGI MAZOEA NDIO YANAYOTUFANYA TUJIKUTE TUNAINGIA KWENYE GHARAMA ZISIZO ZA LAZIMA.
NYAKATI HIZI MAGONJWA KAMA YA MOYO / HIGH BLOOD PRESSURE YAMESHIKA KASI
NA KUWA TISHIO NA YAMEINGIA HADI KWA WATOTO, UNABAKI KUJIULIZA HIVI
MTOTO MDOGO KAMA HUYU HUU UGONJWA
KAUPATA WAPI, MWISHO WA SIKU UNAANZA KUMTAFUTA MCHAWI NI NANI...
Kiukweli ni lazima tujali ni vyakula vya aina gani tunatumia, Je! Ni
vyakula asilia au vimejazwa makemikali ambayo ndio chanzo cha matatizo
haya yote?
HABARI NJEMA KWAKO LEO.
Kampuni ya ''Halista
Enterprises'' wanasema - MAGONJWA SASA BASI, Ni baada ya kuanza
kuzalisha mafuta Halisi ya Alizeti inayolimwa hapa hapa Tanzania.
WASILIANA NAO KWA NAMBA ZILIZOKO KWENYE STICKER YA TANGAZO.
TANGAZA KUPITIA: MJ Media - making business known.
Subscribe to:
Comments (Atom)
KUWA WAKALA WA BIDHAA ZA KII AFRICA
Mtu yeyote anaruhusiwa kuwa Wakala wa uuzaji wa bidhaa zinazozalishwa na KII AFRICA (T). Wakala wa kawaida atauziwa kwa bei ya punguzo, Wakala ambaye ni mwanachama wa Kii Africa atauziwa kwa bei ya uanachama ambayo ni ya chini zaidi. Jiunge na Kii Africa uwe mwanachama Upate punguzo zaidi. Wasiliana nasi: 0653 100 100
iBooks
- Maarufu
- Maktaba
- Vipengele
Library | Maktaba
- Apr 06 (1)
- Sep 11 (1)
- Aug 14 (1)
- Sep 01 (1)
- Aug 30 (1)
- Sep 23 (1)
- Sep 07 (1)
- Apr 23 (1)
- Apr 20 (1)
- Apr 16 (1)
- Mar 03 (1)
- Nov 13 (1)
- Oct 01 (1)
- May 26 (1)
- May 15 (1)
- May 09 (1)
- Apr 18 (1)
- Apr 10 (3)
- Mar 15 (1)
- Mar 08 (1)
- Feb 26 (1)
- Feb 03 (1)
- Nov 26 (1)
- Oct 21 (3)
- Oct 06 (1)
- Oct 04 (1)
- Sep 26 (1)
- Sep 23 (1)
- Sep 20 (1)
- Sep 16 (1)
- Sep 04 (1)
- Sep 03 (1)
- Sep 01 (1)
- Aug 31 (1)
- Aug 16 (1)
- Aug 13 (1)
- Aug 06 (1)
- Aug 05 (1)
- Aug 03 (1)
- Jul 30 (1)
- Jul 23 (2)
- Jul 22 (1)
- Jul 21 (1)
- Jul 20 (1)
- Jul 16 (1)
- Jul 07 (1)
- Jul 05 (1)
- Jun 27 (1)
- Jun 25 (1)
- Jun 21 (1)
- Jun 16 (1)
- Jun 13 (2)
- Jun 07 (1)
- Jun 05 (1)
- Jun 04 (1)
- May 27 (1)
- May 24 (1)
- May 12 (1)
- May 09 (1)
- Apr 22 (1)
- Apr 20 (1)
- Apr 19 (1)
- Apr 17 (1)
- Apr 11 (1)
- Apr 10 (1)
- Apr 08 (1)
- Apr 07 (1)
- Apr 05 (2)
- Apr 03 (1)
- Mar 29 (1)
- Mar 26 (2)
- Mar 25 (2)
- Mar 19 (1)
- Mar 17 (1)
- Mar 13 (1)
- Mar 05 (1)
- Mar 04 (1)
- Feb 20 (1)
- Feb 19 (1)
- Feb 14 (1)
- Feb 12 (1)
- Feb 10 (1)
- Feb 04 (1)
- Feb 03 (1)
- Jan 30 (1)
- Jan 21 (1)
- Jan 18 (1)
- Jan 14 (1)
- Jan 10 (2)
- Jan 09 (1)
- Jan 08 (1)
- Jan 03 (1)
- Dec 30 (1)
- Dec 12 (1)
- Nov 27 (1)
- Nov 25 (1)
- Nov 24 (1)
- Nov 21 (1)
- Nov 20 (2)
- Nov 19 (1)
- Nov 17 (1)
- Nov 16 (1)
- Nov 15 (1)
- Nov 13 (1)
- Nov 09 (2)
- Nov 07 (1)
- Nov 05 (1)
- Nov 04 (2)
- Nov 03 (1)
WADAU
YALIYOMO
BENEFITS OF SUNFLOWER OIL
Capacity Building Class.
EVENTS
FamareX Products & Co.
Fundisho La Msingi
Habari mpya
HARAKATI ZA BLOG
JICHO LA TOFAUTI
KIOO CHA BLOG
KONA YA WATUMISHI
LAWS OF SUCCESS
MAHUSIANO
MATANGAZO
NUKUU YA LEO
Picha Na Matukio
RADIO
Results 4M4-2014
Riwaya / Hadithi
Speak Up For Orphans
WIMBO WA BLOG
MC LAWRENT MWANTIMWA
KINAPATIKANA MADUKANI
KAMA UNAHITAJI COPY YAKO, TUPIGIE: 0767 228 061 / 0715 228 061
KARIBUNI
UNATENGENEZA: LOGO, CD Cover, STICKER, BUSINESS & ID CARD, MATANGAZO... N.K.
Total Pageviews
KII AFRICA (T).
MITANDAO MINGINE
-
-
JANETH LUSHINGE SALAMA ROHONI MWANGU - Ambatana nasi kwenye ukurasa wetu wa facebook kwa habari zaidi. www.facebook.com/gospelkitaa
-
HIVI NDIVYO RAIS MAGUFULI ANAVYO PENDWA NNCHINI KENYA...MASHABIKI WA VILABU KENYA WATENGENEZA TAWI LA MAGUFULI - [image: https://4.bp.blogspot.com/-POin-ICpMzk/Vxycbod3M9I/AAAAAAAA-ow/5_NzoDtRh4owGE8mr3leX16dBvvT8cwOACLcB/s640/13043528_976655849080443_90653603117684311...
-
-





