Imewekwa na: Mdee Junior
Tarehe: 11:06:00 PM
/
JICHO LA TOFAUTI
SIKILIZA JICHO LA TOFAUTI HAPA NA MC. HARRIS KAPIGA NDANI YA GOSPEL TRACKS YA CLOUDS FM KAMA ULIIKOSA HII.
Hii ni kuonyesha ni jinsi gani Blog Hii Inakujali mfuatiliaji wangu wa nguvu!
Itakuwa baraka sana kama utaandika comment zako hapa!
KUMBUKA:
Kama ambavyo Blog hii imekuwa ikikuletea mafundisho yenye kubadilisha ufahamu/akili na maisha kwa ujumla; Unaweza kui-support Blog hii
kwa kununua mafuta halisi ya alizeti yenyo ubora wa juu, Lengo ni
kufanikisha Blog hii Iendelee kukuletea mafundisho mazuri kutoka kwa
watu maarufu na waliofanikiwa ambao nimekuwa nao bega kwa bega ili
kuhakikisha msomaji wangu anapata kitu kitakachoweza kumtoa hatua moja
kwenda hatua nyingine!
Ili kujipatia Mafuta haya waweza kuwasiliana nasi kwa 0659 700 002 na Mungu atakubariki.
Asanteni sana wadau wangu!