MATENDO MAKUU NDANI YA KANISA LA EBENEZER IPHC - Tabata Segerea!
Hakika Mungu ni mwema sana kwa watu wake kila iitwapo leo.
Blog hii ilikuwa ndani ya kanisa la Ebenezer lililopo Tabata Segerea, Dsm.
Ebenezer ni kanisa lililo chini ya mchungaji na askofu Dr. Kundael Mrema akisaidiana na mchunga msaidizi Mch. Magreth Marton!
Tazama video hizi fupi!