BAADA YA SHAKING THE CITY LIVE; SASA NI ''PRAISE, WORSHIP AND TALENT NIGHT'' _ (PRAWAT) @ CITY HARVEST CHURCH!
Baada ya kutikisa mji ( shaking the city, the drive) mwaka jana, sasa waja na kitu kipya TALENT NIGHT ndani ya Kanisa la City Harvest, Ubungo Garage/Mandela Road. Victoria Petrol Station, 2nd Floor.
Ni Ijumaa hii ya tarehe 12/04/2013
Muda: 09pm-5am
USIPANGE KUKOSA.
Ni Ijumaa hii ya tarehe 12/04/2013
Muda: 09pm-5am
USIPANGE KUKOSA.
A. Chavala: 0713 818 377
Mdee Junior: 0659 700 002
Life Changers Ministry_LcM
Life Changers Ministry_LcM