WATOTO YATIMA NA WALIO NA MAZINGIRA MAGUMU
Ni Huduma/Taasisi - (Non-Profit Organisation).
Tunajihusisha katka kuwafikia watoto yatima na wale walio na mazingira magumu popote Tanzania.
Tunatambua kuwa kazi / huduma hii ni ya kijamii na inagusa jamii yote ya Watanzania.
Hivyo basi,
Ukiwa kama MDAU mwenye mapenzi mema kwa watoto wa kundi hili na katika kufanikisha lengo la huduma hii - tunaamini kabisa kwamba mahali ulipo/unakoishi au kwenye jamii inayokuzunguka yumkini wapo watoto yatima na wale walio na mazingira magumu.

"WASEMEE FOUNDATION" Tunakuomba endapo kuna yatima na walio na mazingira magumu na kiukweli unaona kabisa kwamba wapo kwenye uhitaji basi tunaomba uwasiliane nasi - tupe taarifa ili ikiwezekana tufike hapo walipo tuzungumze nao.
Ukifanya hivyo MUNGU wa mbinguni atakubariki sana na atakuzidishia neema yake ya pekee.
Wasiliana nasi kwa namba hizi:
Piga/SMS >>> 0653 100 100
WhatsApp >>> 0788 630 639
Lakini pia milango ipo wazi kwa yeyote anayependa ku support watoto yatima na walio na mazingira magumu.
Kauli Mbiu Yetu:
"Gusa Maisha Ya Yatima, Gusa Moyo Wa Mungu"
Bonyeza https://www.facebook.com/wasemee3189 uweze ku LIKE ukurasa wetu wa Facebook pia Share na wengine, utabarikiwa zaidi.
Imetolewa Na.
Mkurugenzi wa huduma,
Wasemee Foundation.
TANZANIA.
Mkurugenzi wa huduma,
Wasemee Foundation.
TANZANIA.