NA HILO LINAPITA
Haijalishi unapitia wakati mgumu. Mungu bado hajakuacha bali analo kusudi jema na wewe.
Sikiliza wimbo huu nawe utapata faraja tele na kuinuka tena na kutoka hapo ulipo.
Hilo Unalopitia Leo Litapita.
Life Coaching Blog
Imewekwa na: Mdee Junior Tarehe: 5:43:00 PM / maoni : 1