Chat Now

HABARI MPYA

FUNDISHO LA MSINGI

PICHA NA MATUKIO

CAPACITY BUILDING CLASS

MAHUSIANO

NUKUU YA LEO

CITY SHAKERS WATIKISA ANGA KATIKA MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU NDANI YA CITY HARVEST - A NIGHT OF PRAISE & WORSHIP.

   Nimehudhuria mikesha kadha wa kadha maeneo tofauti tofauti ila huu wa jana tar. 23 Nov. umekuwa na tofauti kubwa sana! It was really beautiful, mighty and glorious... the presence of the Almighty covered the whole place, the hearts were desperate for God as a result 11 people gave their life to Jesus in the presence of the multitude! The presence of God was real right there!
It was great to be there!

Mr. Chavala akiongoza The City Shakers Praise Team.


Vikundi mbalimbali vya kusifu na kuabudu, drama na comedy vilikuwepo bila kuwasahau waimbaji binafsi! Tazama picha zifuatazo.

Hawa ni Mwenge T.A.G Praise Team, walifunikaje??? Kiukweli nimewapenda sana, wanamaanisha kile wanachoimba, they were in the Spirit.





John Honore aki-perform.












Mariam, kutoka Habert Kairuki.












Holy Of Hollies waki-perform.












Watu 11 waongozwa sala ya Toba baada ya mahubiri, Neno lilitoka ktk Luka 16:19ff











City Shakers wakiingia kwa mbwembwe! wamependezaje?
























City Shakers, ukiwa na hawa jamaa hutatamani ibada iishe.











Mtikisiko Ulianzia hapa! hahahaaaaa wwuuuuu!!!!. Glory.












Uvumilivu ulimshinda kila mtu, hakuna aliyetamani kukalia kiti.


















































Kama haitoshi kila mmoja aliamua kwenda chini kumsujudia Bwana.  Oooh Hallelujah.
























Mr. Chavala kushoto, Mr. Lawrence kulia.












Akiimba muziki wa kizazi kipya, gospel hip hop!












Moja ya drama zilizofanyika.












Shakers dancers.












Comedy.






































Baadhi ya watumishi waliohudhuria kwenye mkesha.














LONG LIVE CITY HARVEST,
For Young Professionals Who Are Committed To Excellence!

Wasiliana na Mr. CHAVALA kwa simu No.
0713 818 377.


By. DREAM BIG BLOG.

Cont. 0659 700 002
      0756 145 417
email: mdeebn@gmail.com

















































Juu