Imewekwa na: Mdee Junior
Tarehe: 11:07:00 AM
/
|
Jina lake halisi ni Emanuel Mathias, lakini kwa wakazi Dodoma walimfahamu kama MC MANU ambaye sasa ametua Jijini Dar es Salaam.
Ndoto zake ni kuanzisha kipindi cha komedi katika TV na sasa anafanya kazi na RESPECT DJs EDTON EVENT MASTER ambayo MC LUVANDA ndie Manager wake.
Na hii ndio SLOGAN YA MC PILIPILI; 'THE MOST HILLARIOUS STAND UP COMEDIAN AND BRILLIANT MASTER OF CEREMONIES TANZANIA.
Ukitaka kuwasiliana naye! 0715 415 542, 0685 854 595, 0754 415 542
|
|
Katika uelimishaji rika. |
|
Pamoja na kuwa MC katika sherehe mbalimbali, pia ni mchekeshaji bora sana ambaye ukimuona awapo stejini/jukwaani hakika utafurahi na ni mwigizaji, mtunzi wa filamu pamoja na kuelimisha rika.
|
|
Emanuel Mathias a.k.a MC PILIPILI. |
|
MC PILIPILI akiwa na ZE BLOGGER Sam Sasali, papaa. |
|
Emanuel Mathias kitaaluma ni mwalimu ambaye amekuwa Dodoma kwa muda mrefu sana pia alifundisha DCT-JUBILEE HIGH SCHOOL. |
No comments:
Post a Comment