Chat Now

HABARI MPYA

FUNDISHO LA MSINGI

PICHA NA MATUKIO

CAPACITY BUILDING CLASS

MAHUSIANO

NUKUU YA LEO

NI USIKU MTUKUFU, NI USIKU ULIOTUKUKA KATIKA BWANA, NI USIKU WA KUAMKA KIROHO, NI USIKU WA KUVULIWA YALE YOTE ULIYOVIKWA NA ADUI.... YOTE HAYA NI KATIKA KUSIFU NA KUABUDA LIVE PAMOJA NA MAMBO KIBAO.

MAHALI: CITY HARVEST.
MUDA: SAA TATU USIKU.

PANDA GARI YA UBUNGO KUPITIA MANDELA ROAD SHUKIA KITUO CHA GARAGE,
UTAONA JENGO LA VICTORIA PETROL STATION THEN KWEA GHOROFA YA PILI.


WOTE MNAKARIBISHWA.

Mawasiliano: 0713 818 377.
Meet you there!

DREAM BIG.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:


Juu