Haya ni moja ya mazungumzo niliyoweza kuzungumza na dada mmoja rafiki yangu kutoka Africa ya Kusini kupitia mtandao wa facebook. Huyu dada (jina nalihifadhi ila nitatumia jina la Leez kuwakilisha jina lake, pia nitatumia John kuwakilisha jina la mume wake) aliwahi kunishirikisha nimuombee juu ya ndoa yake ipate kusimama. Nilifanya hivyo na ikafika kipindi Mungu akaonekana kwao, nakumbuka siku moja alinipigia simu akiwa na mumewe akaniambia 'hivi tulikuwa tunakuzungumzia na mume wangu' ndo mana nimekupigia, nimemwambia mume wangu tupange tuje Tanzania kukutembelea.
Nimeondoa picha yake kwa sababu za msingi.
Mazungumzo yalikuwa hivi;
Nimeondoa picha yake kwa sababu za msingi.
Mazungumzo yalikuwa hivi;
- January 25, 2011
- Baada ya muda kitambo tukakutana tena mtandaoni, ikawa hivi.
- February 25, 2012 Muda ulipita kidogo bila mawasiliano, mara tunakutana tena mtandaoni.
- February 28, 2012
- April 11, 2012
- July 5, 2012 Miezi kadhaa ikapita, tukakutana tena mtandaoni.
- HUYU DADA ANA MIAKA NANE KWENYE NDOA, AMEFIKA MAHALI AMEKATA TAMAA ANATAMANI TALAKA.
- KUNA USHUHUDA ALIWAHI KUNIANDIKIA KITU MUNGU ALIFANYA KWA MUMEWE, MUNGU ALIFUNUA TATIZO LILIPO, IKAMFANYA AWEZE KUOMBA MAOMBI YA KULENGA. NITAUTAFUTA HUO USHUHUDA HALAFU NITAKUSHIRIKISHA MANA NI TAKRIBANI MIAKA MIWILI ILIYOPITA KAMA SIO MWAKA MMOJA.
- PIA NITAMTAFUTA KWENYE SIMU NIMUULIZE NDOA IMEFIKIA WAPI, KWANI SIMPATI facebook, amekuwa kimya sana; inawezekana ni majukumu ya kazi kwani alinishirikisha kuna mahali alikuwa aende kufanya interview hivyo tukaomba; akafanya interview akafaulu na kupata ajira.
Rafiki yangu unayefuatilia blog hii hasa katika segment ya KONA YA WATUMISHI, hebu tafakari kwa kina, jiweke katika nafasi ya huyu dada kisha jiulize swali hili: JE! NINGEFANYA NINI?
Namshukuru Mungu kwa ajili ya huyu dada (yeye ni mzaliwa wa Afrika Ya Kusini), kiukweli amemshika Mungu sana vinginevyo tungerejea ile tamthilia ama riwaya ya ''THINGS FALL APART''
Ukiguswa na hali anayopitia huyu dada, piga goti muombee kwa machozi na kwa kuugua!
Nakupenda, Mungu akuongeze na kukuzidisha!
AMINA!
+255 659 700 002
+255 756 145 417
mdeejunior@gmail.com (barua pepe)
mdee.junior (skype)
@ mdee_junior (twitter)
TUNAKARIBISHA MAONI NA USHAURI KUHUSU BLOG HII, Tumia mawasiliano hapo juu
au andika comment yako/maoni yako hapa chini.
DREAM BIG AS YOU GROW BIG.
No comments:
Post a Comment