Baada ya kuhubiri Nairobi Kenya pia akiwa na mwaliko Kigali nchini Rwanda, Ev. Magreth Marton aliwasha moto jumapili iliyopita ndani ya kanisa la Ebenezer IPH. Mungu anamtumia kwa viwango vya juu sana katika kuhakikisha kusudi la Mungu duniani linafunuliwa kwa wote wenye mwili.
Mahubiri yake yaliongozwa na somo alilolipa kichwa ''MOYO WAKO UKIWA WAZI UTAWEKWA HURU'' Yohana 4:1-25 ; Warumi 1:16.
Baada ya mahubiri alifanya maombezi na wale wote waliohitaji na wale ambao Bwana alisema nao kupitia Ibada hiyo.
Mwishoni kabisa alifanya maombi maalumu kwa ajili ya watoto wote waliohudhuria Ibada hiyo. Aliomba juu ya Roho ya Uamsho kwa watoto na Sanjari na Ulinzi wa Mungu.

No comments:
Post a Comment