Mchungaji Magreth Marton Pamoja na Mdee Junior (Mwenyekiti Msaidizi) wa Vijana wa Kanisa La Ebenezer, IPHC-Tabata Segerea, Wanakukaribisha wewe kijana / muimbaji binafsi / waimbaji wa vikundi na watu wote kwa ujumla wake kwenye Ibada za kusifu na kuabudu zinazofanyika kila siku za Jumapili kanisani hapo kuanzia saa kumi alasiri hadi saa kumi na mbili jioni.
USIPANGE KUKOSA...
USIPANGE KUKOSA...
No comments:
Post a Comment