HALISTA ENTERPRISES Ni Kampuni Iliyosajiliwa. Halista ni kifupisho cha 'HALISI TANZANIA'
TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATU WOTE KUWA ILE BIDHAA ILIYO BORA NA HALISI YA MAFUTA YA ALIZETI KUTOKA MKOANI SINGIDA IPO SOKONI KWA BEI NZURI SANA (REASONABLE PRICE) BIDHAA HII TUNATENGENEZA WENYEWE NA KUSAMBAZA WENYEWE KWA KUSUDI MAALUM LA KULINDA UBORA NA UHALISIA WA BIDHAA HII KWA AJILI YA WATEJA/WATUMIAJI WOTE ILI ISICHAKACHULIWE!
EPUKA MAGONJWA YA MOYO/SHINIKIZO LA DAMU NA MENGINEYO; TUMIA MAFUTA HALISI YA ALIZETI YANAYOSAMBAZWA NA HALISTA ENTERPRISES!
PIA TUNAWEZA KUKUFIKISHIA HADI MLANGONI KWAKO (KWA WALIO DAR TU).
Mafuta yanapatikana katika ujazo wa Lita 1, 5 na 20.
Mauzo yetu ni ya Jumla na Rejareja.
Jali familia yako, nunua kilicho halisi.
Mafuta Halisi Ya Alizeti Kwa Mtanzania Halisi.
Wasiliana nasi:
Tel: 0659 700 002 / 0653 100 100
eMail: halisitz@gmail.com
No comments:
Post a Comment