Chat Now

HABARI MPYA

FUNDISHO LA MSINGI

PICHA NA MATUKIO

CAPACITY BUILDING CLASS

MAHUSIANO

NUKUU YA LEO

KILIMO CHA MATIKITI MAJI KIBIASHARA:

Ni hakika kabisa kwamba unatamani kutoka hapo ulipo na kufikia malengo/mafanikio.
Hata kama umeshaanza kuyaonja mafanikio nina uhakika unatamani kwenda mbali zaidi.

Kwenye ukurasa wetu wa Facebook utajifunza kuhusu kilimo maarufu hapa nchini kwetu Tanzania - 'Kilimo Cha Matikiti Maji'. Kila mkulima kwa sasa anazungumzia kilimo cha tikiti maji.

Kwa nini kilimo hiki kinapendwa sana?.
1. Ni kilimo cha muda mfupi ( kati ya miezi miwili hadi mitatu )
2. Kilimo hiki hakina msimu - mkulima anaweza kulima hata mara nne kwa mwaka.
3. Pamoja na changamoto za hapa na pale, kilimo hiki kinakupatia pesa nzuri sana endapo utafuata kanuni pamoja na kulilenga soko (timing ya soko).

Tunaamini ukiamua kujifunza kupitia ArethaGreens utaweza  kujipatia faida kubwa kwenye zao hili.
Hata kama huna mtaji wa kuanzia, mnaweza kujiunga kwenye vikundi visivyozidi watu 10 kwa kila kikundi.

Like ukurasa wetu wa Facebook upate taarifa/updates mbalimbali na ushauri wa kitaalam.

Bonyeza Link hii uweze Ku LIKE PAGE YETU.
https://www.facebook.com/arethagreenstz

ArethaGreens,
Iringa, Tanzania.
0620 435 933

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:


Juu