Kama ilivyo afya ya mwili bila magonjwa ndivyo ilivyo afya ya mahusiano.
Tunapenda kukukaribisha kwenye darasa letu la AFYA YA MAHUSIANO kwa njia ya WhatsApp LiveChat Group.
Njoo ujifunze jinsi unaweza kuyajenga na kuyafanya mahusiano yako yawe na afya itakayokufanya ufurahie kuwepo kwenye mahusiano hayo.
Darasa ni kwa ajili ya watu kuanzia miaka 18+, singles | wachumba | walioko kwenye ndoa.
Usikose darasa hili litakufungua sana.
Walimu wapo tayari kukufundisha.
Tutumie namba yako ya WhatsApp kwenda namba 0620 435 933 ukianza na neno "afya ya mahusiano"
Tukutane darasani tujenge mahusiano yenye afya.
Walimu:
Ms Eva E.M &
Mr. Mdee B.F
_________________
Copyright:
fEmTanzania | Rafiki255 Tuzungumze.
No comments:
Post a Comment