Chat Now

HABARI MPYA

FUNDISHO LA MSINGI

PICHA NA MATUKIO

CAPACITY BUILDING CLASS

MAHUSIANO

NUKUU YA LEO

MFAHAMU MC PILIPILI NA VITUKO VYAKE

Jina lake halisi ni Emanuel Mathias, lakini kwa wakazi Dodoma walimfahamu kama MC MANU ambaye sasa ametua Jijini Dar es Salaam.

Ndoto zake ni kuanzisha kipindi cha komedi katika TV na sasa anafanya kazi na RESPECT DJs EDTON EVENT MASTER ambayo MC LUVANDA ndie Manager wake. 
Na hii ndio SLOGAN YA MC PILIPILI; 'THE MOST HILLARIOUS STAND UP COMEDIAN AND BRILLIANT MASTER OF CEREMONIES TANZANIA.

Ukitaka kuwasiliana naye! 0715 415 542, 0685 854 595, 0754 415 542
Katika uelimishaji rika.
Pamoja na kuwa MC katika sherehe mbalimbali, pia ni mchekeshaji bora sana ambaye ukimuona awapo stejini/jukwaani hakika utafurahi na ni mwigizaji, mtunzi wa filamu pamoja na kuelimisha rika.

Emanuel Mathias a.k.a MC PILIPILI.


MC PILIPILI akiwa na ZE BLOGGER Sam Sasali, papaa.
Emanuel Mathias kitaaluma ni mwalimu ambaye amekuwa Dodoma kwa muda mrefu sana pia alifundisha DCT-JUBILEE HIGH SCHOOL.

Alichosema Mnyika kuhusu tuhuma za rushwa na ripoti ya Ngwilizi hiki hapa.

Sijakubaliana na maamuzi ya leo spika kuhusu tuhuma za rushwa dhidi ya wabunge na hatma ya kamati ya nishati na madini. Nitamkatia rufaa. Ripoti yote ya Ngwilizi inapaswa iwekwe hadharani, amenukuu kumbukumbuku alizotaka yeye kuhalalisha maamuzi. Nimeamini bunge haliwezi kujichunguza lenyewe na kutoa maamuzi huru katika masuala yanayohusu wabunge. Aidha, katika suala la ununuzi mafuta mazito ya umeme wa dharura maelezo yamedhihirisha haja ya kuundwa kwa kamati ya bunge kuchunguza mchakato ulivyokwenda kwa makampuni yote kama nilivyopendekeza bungeni kwenye hotuba yangu tarehe 27 Julai, 2012.

John Mnyika.

see the way God sees.

What God did for you, He can do for others. Your Job is not to kick someone while they are down, But to point them to God!

Dream Big_Habb 2:2
If You Remember What God Has Done For You, You Will Learn To Look At Others Quite Differently.
⬆
Juu