Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu ( Inborn Potential )
Blog hii itakufanya ujitambue na kuitambua nguvu ya kipekee iliyo ndani yako na kuitoa katika hali ya ufu na kuileta katika hali ya kuwa Hai... ''From being Domant/dead To Active''
Habakuki 2:2-3
BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao , ili aisomaye apate kuisoma kama maji. Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
Ni wakati wa Bwana kufufua ile ndoto yako iliyokuwa imefifia au kufa, Kutimia kwa ndoto yako/zako kunahitaji nidhamu ya kungojea/subira maana asema 'ijapokawia, ingojee' na ule mwisho umekaribia yaani HATMA yako ipo usoni mwako_''your destiny is closer to you''.
Dream Big.
No comments:
Post a Comment