Madam Ruti (kulia) na Hon. John Komba (katikati) akiwa ndo mgeni rasmi kwenye tamasha hilo la uzinduzi lililofanyika tar. 28/10/2012 ndani ya KKKT Usharika wa K/koo. |
Madam Ruti akiwa amebebwa juu juu na wadau wa muziki wa injili Tanzania alipopanda jukwaani. |
Ritha Chuwalo MC wa tamasha hilo! |
Stara Thomas akiwa ndani ya nyumba. |
1 comment:
Natamani ningekuwepo!
Duuh, i missed it.
Post a Comment