Chat Now

HABARI MPYA

FUNDISHO LA MSINGI

PICHA NA MATUKIO

CAPACITY BUILDING CLASS

MAHUSIANO

NUKUU YA LEO

DREAM BIG _ Habakkuk 2:2

What Others Say and Do Cannot Stop You From Fulfilling Your Destiny. Your Destiny Was Handed Down By Almighty God.

 

Unchangeable GOD

Mungu atabaki kuwa Mungu hata kama hakujibu vile nitakavyo mimi.

MADAM RUTI AZINDUA ALBUM YAKE ''JANA IMEPITA''

Madam Ruti (kulia) na Hon. John Komba (katikati) akiwa ndo mgeni rasmi kwenye tamasha hilo la uzinduzi lililofanyika tar. 28/10/2012 ndani ya KKKT Usharika wa K/koo.
Madam Ruti akiwa amebebwa juu juu na wadau wa muziki wa injili Tanzania alipopanda jukwaani.
Ritha Chuwalo MC wa tamasha hilo!
Stara Thomas akiwa ndani ya nyumba.

HII NI BLOG YAKO: 'Life Changers Ministry_LcM'

Hii ni Blog ambayo utapata mafundisho mbalimbali ya Neno la Mungu yatakayokuinua Kiimani zaidi na kukufanya ukue kiroho na kukusaidia kuamsha ndoto zako kwa ajili ya Ufalme Wa Mungu Baba.
Waefeso 3:20.
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu ( Inborn Potential )

Blog hii itakufanya ujitambue na kuitambua nguvu ya kipekee iliyo ndani yako na kuitoa katika hali ya ufu na kuileta katika hali ya kuwa Hai... ''From being Domant/dead To Active''

Habakuki 2:2-3
BWANA akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao , ili aisomaye apate kuisoma kama maji. Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.

Ni wakati wa Bwana kufufua ile ndoto yako iliyokuwa imefifia au kufa, Kutimia kwa ndoto yako/zako kunahitaji nidhamu ya kungojea/subira maana asema 'ijapokawia, ingojee' na ule mwisho umekaribia yaani HATMA yako ipo usoni mwako_''your destiny is closer to you''.


                Dream Big.

⬆
Juu